Barabara kuu ya kutoka lindi kwenda Ruangwa mkoani Lindi ipo hatarini kujifunga ikiwa jitihada za haraka hazitachukuliwa na Wakala wa Barabara mkoa wa Lindi Tanroads kurekebisha hali hiyo.(Picha na Abdulaziz,Lindi)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. TUSIPO ZIBA UFA TUTAJENGA UKUTA .
    HERI YA MJENGA UKUTA KULIKO AKOSAE NJIA.
    MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA NA MWENYE AKILI HATO ACHA KUPAMBANUA .TUJIULIZE WATANZANIA NINI KITATOKEA KWANI MPIGA PICHA KAPIGA .JE MWENDESHA GARI APITAE HAPO ATASEMA MMH HATARI AU ATASEMA HAPA NAPITA TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...