HUYU NDIO DIAMOND THE PLATNUMZZ akiwarusha wakazi wa Mji wa Morogoro na Vitongoji vyake hapo jana kwenye mkutano wa CCM....!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. NAONA WATOTO NDIO NDIO WENGI HAPA NAO WAMEPEWA KADI AU?

    ReplyDelete
  2. Nimependa hotuba ya mh Makamba.mbona michuzi hutuwekei hizo episode za wabunge?ni kweli wapinzani nawapenda ila wanatumia kila kitu kupinga harafu watambue kabisa mchango wa ccm kwa taifa.hoja ndo zitawale si hasira na kutoka nje na kuzira.ila pia ccm mama makinda aongoze vizuri na wanaccm waache uporaji hizo ndo issue zinazowaangusha.

    ReplyDelete
  3. Da Diamond kafanya vizuri kweli kwenye tamasha hili. Vipi leo kuna habari zozote kutoka kwenye Mahakama ya Rufaa (Court of Appeal)? Tunasubiri sana kujua kilichojiri kupitia Globu Ya Jamii tujue nani kaibuka kidedea kwenye ile Rufaa...

    ReplyDelete
  4. Mbona sehemu kubwa ya umati huu ni watoto wadogo ambao hawaelewi mustakabali wa taifa na by 2012 watakuwa hawajafilia ule umri (18 years!)

    ReplyDelete
  5. Diamond awakune au asiwakune morogoro msimamo wetu kinamama upo pale pale tunayagomea maonyesho yake na bidhaa zake,ata iweje tunamgomea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...