Home
Unlabelled
JIBU LA chemsha bongo: hapa ni wapi na barabara hii ni ya kutoka wapi kwenda wapi??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Weraaaa weraaaa..Nimepata Tabora:Sheluhi-Tinde!!!Nimepita kama mara 5 hivi naendesha gari mwenyewe.Nilikuwa nasubiri jibu
ReplyDeleteAshsante -
ReplyDeleteHicho nacho kinaweza kikaboreshwa kiwe kipengele cha kawaida humu ili kuwakutanisha wadau katika kujizoeza Jiografia ya nchi yetu (hata hivyo huu ni mtazamo wangu binafsi)
Napendekeza:
1. siyo lazima swali lije kilasiku, inaweza ukafanya labda mara moja kwa wiki au vinginevyo;
2. unaweza ukatengeza vipengele kadhaa kwa swali moja na kutoa alama kila kipengere mfano-Mkoa/mpaka kati ya mikoa (10%)wilaya(20%)kijiji (30%)barabara/mtaa (50%)au unaweza ukaona namna bora zaidi ya kufanya kuhusu kutoa alama kwa vipengele kama hivyo;
Kwanini napendekeza hivyo?
1. kama mitihani ingekuwa inatungwa kwa swali moja tu lenye alama 100% wengi tungefeli;
2. mchanganuo wa vipengele unatoa hamasa ya mtu kujaribu, kwavile anajipa moyo ikiwa ntashindwa kipengele x chenye ala (sema 20%) huenda nkapa kinginecho na kinginecho na jumla ikawa angalau ya kuridhisha n.k.
Namna nyingine:
1. Unaweza ukatengeneza muundo wa maswali ya "chahua jibu lililo sahihi zaidi" nayo inaweza ikafanya kazi njema tu kwa aina hii ya mzswali;
2. "kweli au siyo kweli" nayo inaweza kutumika japo inahitaji ubunifu wa namna yake sana kutunga maswali namna hii-hasa kwavile wadau wanaweza kufanya "guess work" ambayo mtu akipa ni ngumu kujua kama kabaatisha au Jiografia iko mahali pake (nao ni mtazamo tu)
Hitimisho:
- Ni kipengele kizuri, kinaweza kuboreshwa.
- Ahsante, kwa mara nyingine.
Njiapanda kulia ni ya kuingia Iguguno
ReplyDeleteUnashuka kuingia mjini Chalinze kutokea Wami
ReplyDeleteumetoa wazo zuri mdau, naunga mkono Hoja
ReplyDeleteHapo unaingia Wilaya ya Mwanga
ReplyDeleteInatoka inakotoka; inakwenda inakokwenda!
ReplyDeleteUbishi wa nini?
hii naona kama kwetu 'mkanyageni" Tanga
ReplyDelete