Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nilisomeshwe na mwalim aliyefeli na nilipasi. Mwalim yupo kukusaidia tu lakini kilichobaki ni bidii yako. Mitihani ya Marekani na UK ukiileta Tanzania darasa zima litapasi.
ReplyDeleteKwanza jamaa Ongera sana kwa kuendeleza kipindi chenu. Kinatoa elimu sana. Maoni yangu mie ni kuhusu lugha. 1.Siye hatutumii Kiswahili kwa sababu Wabongo uzalendo ulikwenda na Mwalimu Nyerere. Maana toka viongozi mpaka mtu wa kawaida usipoongea Kiingerezaa basi uanonekana ujasoma. 2.Na siyo lugha tu,bali hata vitu vingine tunaviabudu vitu vya nje' kuliko vya kwetu. Angalia makocha wa mpira wote wa timu kubwa wanatoka wapi?! Ambapo siye huku Ulaya na Marekani wanatutukuza makocha toka Africa. Inabidi tubadilike kama Taifa ili tuendelee.
ReplyDelete3.Kuhusu Ubalozi, naona mabalozi wengi hawana elimu ya kibiashala ya kujua nini Tanzania inaitaji(wa Marekani wanasema "interest"). na ni kweli"inabidi wawatafute wenyeji, yaani Wa TZ waliopo pale muda, kuwaonyesha wapi kwa kwenda kuitangazaa nchi. Lakini ubalozi wetu hapa DC ni sifuli, kwani mie nimewai kuwaandikia e-mail na kuwapigia simu kuomba ushirikianao wao, kwani huwa napeleka wageni kama 50 Bongo, lakini jamaa hamna jibu. inabidi nikomae hivyo hivyo. Uzuri na ubaya jamaa Bongo wakikuona na wazungu wanakuwa wazuri na kukuheshimu toka airport-kitu ambacho kinatakiwa kwani unaongeza kipato cha Taifa na watu moja kwa moja, toka nauli ya ndege, airport, taxi, mahotelini, n.k
Kazi nzuri sana kutupa elimu ya bure. Ben umesomea nini? You seem to be knowledgeble in so many things, una foresee future vizuri. Pia nadhani una ka-element ka uongozi. Yote mliyosema ni kweli tupu. Mie hapa nipo shuleni ulaya na nipo na mwanangu ila kila nikimwambia shule inaisha tutarudi Tz anaanza kulia na kukataa. Hataki kabisa kusomea huko tena, anataka kuendelea na elimu ya nje.
ReplyDeletewhy is this guy wearing sun glasses indoors n always shouting..cant he be told to talk and not shout?
ReplyDeleteit is a shame to have such brain fainted men on social media for others to listen to..
am sure they would do better talking about ugali, 2nd wife and fashion..
YOU GUYS ARE A DISGRACE TO TANZANIA.. I been in DC before and i know the My Tanzania Brothers and Sistas there.. VIJIMAMBO Shame on YOU for chosing these CLUELESS individuals to talk about our issues.. as far as advertising TZ tourism, i've been in alot of events in the USA organised by Board of Tourism via TZ Embassy.. and im talking HUGE events involving Major Rock bands in the USA.. Kuipenda NCHI yako sio lazima upande Mount Kilimanjaro.. eti Video tape? ACHENI HULKA za Kuilaumu Serikalikwa UJINGA weni.. Mwenye Hamu na Elimu hasubiri Serikali imfundishe.. Sasa angalia umekimbilia USA sasa umekosa wa kulaumu..unaanza hata kuilaumu TV kwamba inawafundisha watoto AFRICA mbaya.. A Parent is Responsible of what their children see or not see on TV..kesho mtasema TV imewafundisha BANGI..na Mc DONALD imewafundisha KULA..Right??..Sasa naomba niwaulize ..ni nani wa kulaumiwa kwa USHAMBA WENU??.. wa Kuvaa Sunglasses indoors..na kupayuuka kama unahutubia??
ReplyDelete.USHAURI WA BURE..For the Sake of your KIDS.. Go to Barns and Nobles.. PICK UP A BOOK!! EDUCATE YOURSELF!!
Peace!
MZALENDO*
mdau wa kwanza umepotoka wenzako USA na UK wanafundishwa waelimike kukabiliana na maisha ya kileo ..wakati huko bongo wanafundishwa kupasi na c kuelimika na ndio maana nchi haiendelei kutwa watu kuisakama serikali na rais as if yy ndo amekuja kuwakomboa kwa kila kitu...watu wafundishwe kukabiliana na changamoto za maisha na sio kupasi mitihani...
ReplyDeleteMr miwani myeusi AKA mzee wa kelele huwa naangalia hiki kijiwe kwa ajiri yako ila naomba uwe unawapa nafasi na wengine wachangie,una point na unafurahisha jinsi unavyoongea lakini kelele punguza
ReplyDeleteKwa kweli watanzania hatutaelimika, wanayosema yote ni kweli na ndio mana mlima kilimanjaro unajulikana duniani kote kuwa upo kenya na sio Tz. Je ni kwa nini? Mazuri ya Tz hayatangazwi ipasavyo?! Nani wa kutupa hiyo elimu kuhusu zuzri wa nchi yetu na vivutio vyake? jamani si ni kwenye masomo ya shule za msingi ya geography na history, wazazi wanatakiwa ku-top up tu. Wazazi wengi hawaongei na wanao na wako busy sana sana! Wewe kama mzazi uchukue nafasi ya mwl shuleni wakati inatakiwa mtoto ajifunze shuleni, unless wewe ni baba wa nyumbani huendo kazini! Inabidi kuelewa kwani hata mashuleni wanaweza kuwa na trips za kwenda mbugani au mlima kilimanjaro na wazazi wakachangia pesa tu! Sio kila kitu kifanywe na wazazi, wazazi wengi wako busy sana na ukiwa na likizo mtoto yupo shuleni na ukiwa kazini mtoto yupo likizo, mashule yana wajibu mkubwa katika hili kama walivyozungumza hao wakaka wa vijimambo!
ReplyDelete