Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo leo. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...