Home
Unlabelled
Ifakara ilivyonoga kidijitali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huo Uyoga wa Madishi au ndio balaa gani?
ReplyDeleteHapo kwa mahesabu ya haraka haraka:
1.Mtoto akilia ananuliwa Dishi lake ama (Ungo) ili anyamaze!
2.Ukimkosea mtu anakudai fidia umlipe Dishi!
3.Mke akinuna ndani ya nyumba unambembeleza kwa kumnunulia amiliki Dishi lake, licha ya upuku puku wa madishi yaliyopo tayari!
Mwisho wake frequencies yaani (Mawimbi ya mawasiliano) yataingiliana ama kugongana kwa kutokana na utitiri wa Madishi.
Je, kwa nini wote msichange mkanunua Dishi moja kubwa lenye nguvu zaidi?
kwa mi ninavyojua watu wengi wa mikoani walikuwa wakitumia digital kitambo sana kwasababu antena za kawaida walikuwa hawawezi kunasa matangazo ya local sation zetu
ReplyDeleteJamani au mmesahahu kuwa hiyo nyumba ina wapangaji zaidi ya kumi na kila mtu anajengemea vikwake ila nafu na choo ipo nje na mnashea
ReplyDelete