Baada ya kumeremeta wadau Rachel Mfinanga na mai hazbendi wake Mlaki Carlos wakiingia katika ukumbi wa Police Officer's Mess Oysterbay Dar es salaam kwa mnuso wa nguvu walioandaa
Rachel Mfinanga na mai hazbendi wake Mlaki Carlos wakipozi na mabesti wao. Kwa mapicha ya kumwaga BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...