Padri Jean Marie akimbatiza mtoto Rose leo Jumapili April 7, 2013 katika kanisa la Mtakatifu Camillus lililopo Silver Spring, Maryland nchini Marekani na baadae viburudisho viliendelea katika kanisa la Mt. Luke lililopo barabara ya Colesville, Downtown, Silver Spring. Aliyembeba mtoto ni mama wa ubatizo Tabitha Mwita wakiwa pamoja na wazazi wa Rose.
Picha juu na chini ni Padri Jean Marie akiongoza misa ya ubatizo ya mtoto Rose iliyofanyika leo Jumapili katika kanisa la Mt. Camillus.
Juu na chini ni Wazazi, mama ubatizo na mtoto Rose katika picha ya pamoja
Picha juu na chini misa ya ubatizo ya mtoto Rose ikiendelea.
Wazazi, mama ubatizo na mtoto Rose katika picha ya pamoja na Padri Jean Marie baada ya misa ya ubatizo wa Rose kumalizika.
Ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye misa ya ubatizo ya mtoto Rose katika picha ya pamoja
Wazazi wa Rose na kadogoo wao wakipata picha ya kumbukumbu.
Hongera Rose Shomari kwa kumkataa shetani na kazi zake zote.
ReplyDeleteVery nice! Mbarikiwe sana!
ReplyDeleteMtoto akikua arudi bongo sio vzr afundishwe kubeba box. si mnajua hazilipi kazi za huko?
ReplyDeletehivi huyu dada alikuwa na mimba alipofunga harusi maana ni juzi tu hapa ameshapata mtoto na amekuwa kisi hichi au aliku naye before wedding nauliza tu wandugu msitoboe macho
ReplyDelete