Msanii mahiri wa mziki wa kizazi kipya,Profesa Jay akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Tamasha la wazi la Vodacom, lililofanyika katika Ufukwe wa bahari ya hindi Coco Beach, jijini Dar es Salaam,lilohudhuriwa na mashabiki lukuki,waliokwenda kujionea burudani hizo ambapo pia walitumia fursa hiyo kwa kuelimishwa juu ya huduma mbalimbali zinazotelewa na mtandao wa Vodacom.
Msanii wa Hip Pop nchini mzee wa michano Fid Q akichana vilivyo wakati wa Tamasha la wazi la Vodacom Tanzania, lililofanyika katika Ufukwe wa Coco Beach, jijini Dar es Salaam.
Msanii wa kizazi kipya wa muziki wa Hip Pop nchini,Dar Stamina akiwapagawisha mashabiki walio furika katika ufukwe wa CoCo Beach katika Tamasha la wazi la Vodacom Tanzania, lililofanyika jana katika Ufukwe huo, jijini Dar esSalaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...