Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA) Bw. Aloyce Masanja akiwaonyesha wadau kutoka katika taasisi na Idara mbalimbali za serikali ripoti ya awali iliyotayarishwa na Kampuni ya Odebretch International ya Brazili ikiwa ni hatua ya awali ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Stierglers Gorge, ripoti hiyo imewasilishwa kwa wadau hao ili kuijadili na kuangalia kama moja ya hatua za utekelezaji mradi huo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (RUBADA) Bw. Aloyce Masanja akiwaonyesha wadau kutoka katika taasisi na Idara mbalimbali za serikali ripoti ya awali iliyotayarishwa na Kampuni ya Odebretch International ya Brazili ikiwa ni hatua ya awali ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Stierglers Gorge, ripoti hiyo imewasilishwa kwa wadau hao ili kuijadili na kuangalia kama moja ya hatua za utekelezaji mradi huo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka hiyo, Profesa Raphael Mwalyosi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Swala la mazingira litakuwa mama wa ripoti zote. Tujipange kiualamu usio wa ubabaishaji

    ReplyDelete
  2. Umeme wa maji...................mvua itatoka wapi?

    ReplyDelete
  3. Mwandishi ungetuelezea nini kimeandikwa katika ripoti vinginevyo hautusaidii kufahamu zaidi ni nini kimeongelewa. Baadae watu wakipitisha na kuweka sahihi katika miradi kwa manufaa yao tunaanza kujilaumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...