Watoto wakibembea katika bembea mpya iliyozinduliwa Pasaka katika uwanja wa Dar Live jana
...wakiwa tayari 'ku take off'
..kama kawaida, licha ya mvua kunyesha mara kwa mara, watoto waliogelea kwenye pool yao.
...wengine waliforahia michezo ya baskeli
...wengine walipanda ndege ya Dar Live
..mandhari ya Dar Live mchana
....Merry Go Round!
Dar Live at Night!
PICHA: Abdul Mohamed/GPL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. naomba kuuliza je hizi theme park equipment zimehakikiwa zina usalama na organisation gani?

    Zikikatika zikauwa watoto yaleyale ya kisutu, wenzenu zinahakikiwa na zinakuwa na bima- wahandisi na architects dar manispaa mpo msipende kuangaliwa kitu kidogo fanyeni kazi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...