Machopochopo ya kila aina ni mojawapo ya vivutio vikubwa katika bustani ya Forodhani ambayo wenyeji wanapenda kupaita 'Foro' Zanzibar
 Mandhari imezidi kupendezeshwa baada ya bustani hiyo kufanyiwa ukarabati mkubwa
 Sunset
 wageni wa ndani na nje hufurika Foro kila jioni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kuwa makini na chakula cha Mezani cha Foro. Vikibaki vinarudi hadi siku vinaisha. Kama huna Muhimbili tumboni; nenda kale hotelini. Usiige tembo.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...