Komba disco katika hoteli ya Bwawani huvuta wapenzi wengi wa muziki kila weekend
 Ndani ya Komba Disco panapendeza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hee heee heee ..Mwanga huo enzi zetu tuliita mwanga wa "ZERO DISTANCE"(Kwa sababu za Kiusalama kwa watoto sitauelezea Zaidi.)

    David V

    ReplyDelete
  2. Ikitokea hatari ya moto ni janga lengine la taifa kwa sababu mlango wa zarura haufanyi kazi.Lakini kwa hili Mzee wetu Maalim Abdalla Mwinyi itabidi aje awajibishwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...