Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akisalimiana na Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa nchini Canada Bw. Julian kabla ya kikao kuanza Fantino.
Kamishna wa Fedha za Nje Zanzibar Bi. Bihindi Nassor akisalimiana na Waziri wa ushirikiano wa Kimataifa nchini Canada Mhe. Julian Fantino.
Waziri wa ushirikiano wa Kimataifa nchini Canada Mhe. Julian Fantino aliyesimama, akisoma hotuba yake mbele ya ujumbe wa Tanzania. Aliyekaa kushoto kwake ni Bi Margaret Biggs ambaye ni Rais wa shirika la maendeleo la kimataifa (CIDA).
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Zanzibar, Bw. Khamis Mussa.
Waziri wa ushirikiano wa Kimataifa nchini Canada Mhe. Julian Fantino akisikiliza kwa makini ujumbe wa Tanzania kuhusu masuala ya Nishati, Elimu, Maji, Usafirishaji, Rasilimali Fedha na Kilimo.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Wiliam Mgimwa pamoja na ujumbe wa Tanzania katika majadiliano ya pamoja na Mhe. Julian Fantino ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa katikati mbele. Aliyekaa kushoto kwake ni Bi. Margaret Biggs ambaye ni Rais wa Taasisi ya maendeleo ya kimaifa(CIDA).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...