Balozi mpya mteule wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Chabaka F. Kilumanga(nne kushoto), akiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa na Wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania - London, baada ya kukaribishwa kwa shangwe za kumpongeza rasmi kwa kuteuliwa kwake kuwa Balozi nchini Comoro, baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, kumemteua Balozi Chabaka Kilumanga kuwa Balozi wa Tanzania, nchini Comoro. Kabla ya uteuzi huo, Mhe. Kilumanga alikuwa Naibu Balozi katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Home
Unlabelled
BALOZI CHABAKA KILUMANGA, APONGEZWA KWA KUTEULIWA KWAKE KUWA BALOZI WA TANZANIA, COMORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Congratulations Balozi Chabaka!
ReplyDeleteYule Mchina kule nyuma ni Mtanzania nae ?? Sisemi haiwezekani but surpised ! sijui ni kizazi cha ngapi mpaka kawa afisa/mfanyakazi wa serikali ya Tanzania...
ReplyDeleteHongera sana, wasilisheni nchi kwa uzuri ili wabaya waone haya.
ReplyDeletemweupe anaaminika wakati wowote mbele ya mweusi.
ReplyDelete