Katika kuadhimisha siku kuu ya wafanyakazi Duniani,Wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya  Sayansi na Teknolojia(COSTECH)  leo tarehe 1 mei 2013 wameungana na wafanyakazi mbalimbali Jijini Dar es salaam katika viwanja vya Mnazi Mmoja kusherehekea siku kuu hiyo


Baadhi ya Wafanyakazi wa COSTECH wakicheza muziki katika jukwaa maalumu Mnazi mmoja jijini Dar es salaam hii leo  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...