GOOD NEWS FOR ALL
UNATAKA KUNUNUA GARI UK?
USIUMIZE KICHWA
CHAGUA GARI SEHEMU YOYOTE UK HALAFU TUTUME SISI TUKALIKAGUE
USINUNUE GARI BILA KUKAGULIWA 
USINUNUE PICHA YA GARI AU CHETI CHA UKAGUZI
TUNATOA HUDUMA YA UKAGUZI WA MAGARI KWA KUTUMIA AUTOMATIC TEST LANES, MITAMBO MIPYA YA KISASA ILIYOPASISHWA NA VOSA. UKICHAGUA GARI KWENYE MTANDAO TUTUMIE DETAILS SISI TUTATUMA WAKAGUZI WETU WANAOTAMBULIWA NA VOSA KWENDA KULIKAGUA GARI ULILOCHAGUA KUHAKIKISHA KUWA UNANUNUA GARI LA UHAKIKA NA SIYO MATATIZO.
TUNAKAGUA UBORA WA GARI (ENGINE &BODY)
TUNAKAGUA UHALALI WA GARI (USIJE KUUZIWA GARI LA WIZI AU LA MKOPO)
TUNAKAGUA UHALALI WA MUUZAJI (WENGINE NI MATAPELI)
NA TUNAKAGUA KAMA KUNA UBOVU ULIOJIFICHA (DIAGNOSTICS) 
WATU WENGI WAMEUMIA BAADA YA KUUZIWA MAGARI MABOVU YASIYO NA VIWANGO KWENYE MITANDAO NA WENGINE KUIBIWA. USINUNUE GARI KAMA HALIJAKAGULIWA KWANI UNAWEZA KUWA UNAUZIWA PICHA TU.

TUNACHUKUA DHAMANA HII KUHAKIKISHA UNANUNUA GARI LITAKALOKULETEA HESHIMA NA FURAHA SIO STRESS!
kama unataka kuagiza kitu au kufanya booking yoyote ingia kwenye website yetu au tupigie kwenye namba zifuatazo:
CHRIS LUKOSI +44 07903828119  & 07404279633 
SIMON LOUIS (MOHSIN) +44 07950689243
HASSAN (RICHARD) +44 07405159255
HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
Tell (+44) 01375 855917  Fax (+44) 01708202477

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2013

    Gari la mlala hoi lazima lizukumwe na kuwa garage mara kwa mara.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...