MWENYEKITI wa Jumuia ya Wastaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoishi Zanzibar, Mohammed Ali Maalim akimkaribisha mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa jumuia hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Eacrotanal mjini Zanzibar.
Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA


Mstaafu aliyekuwa hakufanyakazi chini ya miaka 20 asiruhusiwe kupewa kazi kwa mkataba baada ya kustaafu. Mtu yeyote aliyekuwa hajawahi kufanya kazi serikalini zaidi ya miaka 10 asiruhusiwe kuwa mshauri ndani ya serikali au kupewa cheo cha kuchaguliwa na Rais. Hii itasaidia kuwapa umuhimu wafanyakazi wanaohangaika kufanyakazi serikali kwa mishahara midogo.
ReplyDelete