kAKA MICHUZI.
MIMI NI MFANYA BIASHARA NATAFUTA WAUZAJI WANAOWEZA KUNIUZIA UFUTA UKIWA DAR-ES-SALAAM NAMBARI YANGU NI0717001199 AU 0786642858 AU MAIL ; swahilinet.com@gmail.com
NATAFUTA UFUTA MWEUPE AMA KWA KIZUNGU "WHITE SESAME" MZIGO WA KUANZIA TANI 10 HADI 100 ILA BAADA YA HAPO NITACHUKUA MZIGO WOWOTE UTAKAOPATIKANA HATA UKIWA MWINGI KIASI GANI.
KWA NINI USILIME MWENYEWE BADALA YA KUTAFUTA ULIOLIMWA NA WENZIO?
ReplyDeleteAcha ujinga wewe mchangiaji hapo juu, vingapi utalima mwenyewe, tazama jambo hili kwa jicho chanya, utagundua fursa iliyopo.
ReplyDeleteMdau wa kwanza,hujajibu swali kwani yeye anatafuta wa kununua, mambo ya kulima au kutolima hayana msingi wowote katika hoja yake. Watanzani wengi wanakimbilia kuongea tu bila kufikiri tutazidi kubakia nyuma sana! vizuri kutumia akili mwenyezi Mungu alizotujalia.
ReplyDeleteAnony wa kwanza. mawazo yako ni mazuri ila ktk uchumi kuna kitu kinaitwa Division of labour. Kifupi ni kwamba mtu (kikundi cha watu)wanafanya kipande chao maalum cha kazi/production. Yaani specialist wa kazi moja ana kuwa bingwa wa kipande chake ili kushamirisha matokeo (end product. Hivyo iwapo huyu jamaa ni middle man au purchasing officer (kama mimi)sio lazima a control ulimaji wa sesame. Blackmpingo
ReplyDeletewote wakilima nani atanunua? akili kidogo tu
ReplyDeletebasi jamani naona mdau wa kwanza atakuwa ameelimika kwa maoni yenu
ReplyDelete