kAKA MICHUZI.
 MIMI NI MFANYA BIASHARA NATAFUTA WAUZAJI WANAOWEZA KUNIUZIA UFUTA UKIWA DAR-ES-SALAAM NAMBARI YANGU NI0717001199 AU 0786642858 AU MAIL ; swahilinet.com@gmail.com

NATAFUTA UFUTA MWEUPE AMA KWA KIZUNGU "WHITE SESAME"  MZIGO  WA KUANZIA TANI 10 HADI 100 ILA BAADA YA HAPO NITACHUKUA MZIGO WOWOTE UTAKAOPATIKANA HATA UKIWA MWINGI KIASI GANI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2013

    KWA NINI USILIME MWENYEWE BADALA YA KUTAFUTA ULIOLIMWA NA WENZIO?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2013

    Acha ujinga wewe mchangiaji hapo juu, vingapi utalima mwenyewe, tazama jambo hili kwa jicho chanya, utagundua fursa iliyopo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2013

    Mdau wa kwanza,hujajibu swali kwani yeye anatafuta wa kununua, mambo ya kulima au kutolima hayana msingi wowote katika hoja yake. Watanzani wengi wanakimbilia kuongea tu bila kufikiri tutazidi kubakia nyuma sana! vizuri kutumia akili mwenyezi Mungu alizotujalia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2013

    Anony wa kwanza. mawazo yako ni mazuri ila ktk uchumi kuna kitu kinaitwa Division of labour. Kifupi ni kwamba mtu (kikundi cha watu)wanafanya kipande chao maalum cha kazi/production. Yaani specialist wa kazi moja ana kuwa bingwa wa kipande chake ili kushamirisha matokeo (end product. Hivyo iwapo huyu jamaa ni middle man au purchasing officer (kama mimi)sio lazima a control ulimaji wa sesame. Blackmpingo

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2013

    wote wakilima nani atanunua? akili kidogo tu

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2013

    basi jamani naona mdau wa kwanza atakuwa ameelimika kwa maoni yenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...