Kocha wa mchezo wa masumbwi Klabu ya Amana CCM ,Kondo Nassoro (Kushoto) akimwelekeza msanii wa michezo ya kuigiza kwenye Luninga, Haruna Mussa 'Dipo' wa Dar es salaam jana jinsi ya kutupa makonde alipokwenda kufanya mazoezi ya ngumi kwa ajili ya kujiweka sawa sawa katika kuakikisha anafanya vizuri kwenye fani yake
Home
Unlabelled
MSANII DIPO AJIUNGA KWENYE MASUMBWI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...