Picture

Meneja Mauzo na Usambazaji wa Samsung Sylvester Manyar (kushoto) akimuonesha mwandishi wa habari wa clouds media Bi.Esther Machangu moja ya teknologia iliyopo kwenye simu aina ya Samsung Galax S4 yenye teknolojia mbalimbali za kisasa ,wakati wa uzinduzi wa simu hizo wateja watakaonunua simu hizo watapata huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 sambamba na waranti ya mwaka mmoja ya matengezo, uzinduzi huo ulifanyika Vodashop Oysterbay jijini Dar es Salaam, Wanaoshuhudia watatu toka kushoto ni Afisa Masoko wa Vodacom Ibrahim Kingozi, Elihuruma Ngowi, Meneja wa Samsung nchini Kishor Kumar.

Picture

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na Samsung wakiwazijaribu simu aina ya Samsung Galax S4 iliyosheheni teknolojia mbalimbali za kisasa ,wakati wa uzinduzi wa simu hizo ambapo wateja watakaonunua aina ya simu hizo watapata huduma ya bure ya Intaneti ya (5GB) kwa muda wa siku 30 sambamba na waranti ya mwaka mmoja wa matengezo,simu hizo zitakazokuwa zikipatikana kwenye maduka ya Vodacom nchini.Uzinduzi huo ulifanyika katika duka la Vodacom eneo la Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2013

    Tunashukuru kwa taarifa nzr ila aliyeandaa hii taarifa nafikiri sio mtu wa biashara..Angeweka basi na bei jamani...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2013

    Bila shaka unajua kwa nini hakuweka bei, angeweka bei ungepata mshtiko wa moyo au kizunguzungu.Hii kitu ni chao wakubwa siyo cha Asumani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...