BUSHOKE FT K-LYNN - NALIA KWA FURAHA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2013

    Kitu kimetulia.Sasa Bro Ankal,mimi nina swali dogo.Wewe umekuwa ukijitahidi kutuwekea muziki wa Tanzania wa kila aina(Asante).Sasa muziki wetu wa asili Tanzania(au Afr.Mashariki) ni upi?Kwa sababu hata hawa vijana hapa wanatumia mapigo ya ZOUK(Zuku) ambao asili yake ni visiwa vya Caribbean(kumbuka Kassav miaka ya '1980s') na ni muziki maarufu sana Afrika ya Magharibi(Sipingi matumizi ya beat hii).Hoja yangu ni kwamba mapigo ya muziki wa afrika ya kati,kusini,magharibi,kaskazini yanaeleweka,unaweza kutambua hata bila kuelewa lugha inayotumika.Sasa hapa Afrika ya Mashariki??Taarabu?Karibu Ankal

    Mdau David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...