Ngoma ya 'Bane' ya Oliver Ngoma (RiP) si ya kusahau
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante Uncle ngoma hii inanikumbusha Namfua sec school mwaka1993 wakati wa party zetu za shule.kwa wale wanafunzi wa namfua wa mwaka huu watakumbuka.
ReplyDeleteHakuna nini wala nini si useme tu umekumbuka yale Mabao?
ReplyDeleteWewe Michuzi ni mtu mzima sasa na tunakutegemea.
Ankal huo ni Wimbo RASMI WA WEWE YANGA S.C kwa mara ya pili tena kuchapwa Mabao 5-0 na Simba S.C!
Hivyo unajifanya sijui umekumbuka wimbo Bane wa Olive Ngoma wakati UMEKUMBUKA KICHAPO CHA MABAO MATANO BILA!
Mdau wa Pili chezea Muchizi weye?
ReplyDeleteTusisumbuane tafadhali tunaanza leo tukiwa 0-0 (bila bila).
Wewe ulimfunga Michuzi (Yanga.S.C) Mabao 5-0 (MABAO YA MIGUU), sasa kukuonyesha ya kuwa watu ni Mafia Mabao yooote 5-0 yalichomolewa kwa njia ya LIBOLO!
SPECIAL REQUEST MUSIC:
ReplyDeleteAnkali Jumapili turushi za Mkali wa siku kitambo THE BIG DADDY KANE huyu Rapper alitikisa sana miaka ya 1989 huku tukiwa tunaziruka pale Space 1900 na Vision 2000
Vibao vyake zaidi ya hiki ktk link:
http://www.youtube.com/watch?v=U1xWcskwHao&feature=endscreen&NR=1
Vingine ni
-taste of chocolate
-Lean on me
-Dolomite
-Prince of darkness
-get the job done
-raw
-heal yourself
-the love in you
-cause I can do it
-nuff respect
na zingine kibao