Mbunge wa Mafia, Mhe. Abdulkarim Shah, akichangia hoja katika uzinduzi wa
mradi shirikishi wa uvuvi katika wilaya za Rufiji, Mafia, Kilwa, Temeke na
Mtwara vijijini, leo, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa WWF-Tanzania Bw. Bell'Aube Houinato, akifungua warsha ya mradi shirikishi wa uvuvi endelevu unaofadhiliowa na Umoja wa Ulaya na kuendeshwa na WWF na wadau, katika wilaya hizo.
Mkurugenzi Mkuu wa WWF-Tanzania Bw. Bell'Aube Houinato, akifungua warsha ya mradi shirikishi wa uvuvi endelevu unaofadhiliowa na Umoja wa Ulaya na kuendeshwa na WWF na wadau, katika wilaya hizo.
Washiriki katika warsha ya mradi shirikishi wa uvuvi unaofadhiliwa na EU
/WWF katika wilaya za Rufiji, Mafia, Kilwa, Temeke na Mtwara vijijini,
kama ulivyozinduliwa leo jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...