Miriam Makeba aliirusha bendera ya Tanzaniajuu duniani kwa wimbo huu wa 'Malaika'
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana Ankal.Huu wimbo nilishausikia nchi moja ya nje ukipigwa Hotelini(muziki mwororo),wahudumu wa hotelini wakawa wanajaribu kuuimba wanakosea(Wanaupenda lakini hawaelewi manake,hiyo nchi haitumii Lugha ya Kiswahili).Alipiga na kibao kingine na kuchanganya lugha ya Kiswahili-HAPO ZAMANI...SHAURI YA P*MBE...(Sina uhakika kama ni yeye)
ReplyDeleteDavid V
This is 2013! Hii kitu bwana sio news: ni zilipendwa. Nilitegemea baada ya Hayati Makeba kuwafungulia mlango baada ya kuwa-amsha from a deep stupor, the then Wa-TANGAYIKA na leo Wa- TANZANIA; mngeliweka mbele KISWAILI GLOBALLY. TOKA NYERERE/JUMBE/MWINYI/MKAPA/KIKWETE/ (he naona yote hii ni CCM) kila wanapopewa fursa, na majukwaa kuzungumza OVERSEAS, SIOKAMA PUTIN AMA MJAPANI AMA MCHINA HATA MPALESTINA WOTE WATUMIA LUGHA ZAO. NA HAWA BASI MARA NYINGI NI WASOMI WA HALI YAVJUU NA KIMOMBO WANAKIMUDU! ILA VIJANAWAPEWA KAZI YA UKALIMANI (Thus reating a whole Ukalimani/Translation Industry, all this reducng UNEPLOYMET. WASWHILI NA WA BANTU/NUBIANS NA WANAOJIITA FRENCH ALKEBUKALANI SUBJECTS -- WAVAMIA TUMIA UMOMBO AMA KIFARANSA: TO ALL HIZI LUGHA BWANA NI SECOND LANGUAGES. JAMANI HADI SASA 2013 mlango alofungua hayati MAKEBA HATU-UONI.Mpeni hii blog Mhesmiwa KIKWETE atupe wazo lake.
ReplyDeleteNashindwa na Mali sina eeeee mie Yanga ningeiwowa Msimbazi!
ReplyDeleteKidege eeeee nakuwaza Msimbazi,
Nashindwa na mali sina eeee mie Yanga ningekuwowa Msimbazi.
Bao 2-0 !