MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) leo katika ukumbi wa White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na wengine kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu imemteua mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chambani, Pemba Mattr Said .(Picha na Bashir Nkoromo).
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sare yake wapi????
ReplyDeleteWewe na#1 unaonekana ni mkali wa fasihi,mambo ya fasihi simulizi.Nadhani ni wewe ulitoa comment mahali fulani humu.."Mbona analia"? ilibidi nianze kuangalia tena picha zote taratibu kumtafuta "anayelia".Asante sana.
ReplyDeleteDavid V
Acheni tu, huko chambani tawazeni msisimamishe mgombe.
ReplyDelete