Walimbwende wanaowania taji la Redd's Miss Uswawi wa Jamii 2013,wakiwa wameweka pozi kwenye picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na shindano lao hilo linalotarajia kufanyika Ijumaa hii (mei 17,2013) katika Ukumbi wa SunSirro,Sinza jijini Dar es Salaam huku wakisindikizwa na Malkia wa Mipasho Tanzania,Bi. Khadija Kopa na Msanii wa Bongo Fleva,Barnaba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Geofrey ChambuaMay 15, 2013

    Hawa wanafunzi wanasoma saa ngapi? nasikitika sana kuona wahitimu wengi wasivyo na uwezo huku mitaani

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2013

    Waache wenzio wauze sura bwana, mwisho wa siku kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...