Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K.Membe (Mb.), kwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. John Baird wakisaini Mkataba wa Kulinda na Kukuza Uwekezaji (FIPA) kati ya Tanzania na Canada. Hafla hiyo fupi ilifanyika Wizarani tarehe 16 Mei, 2013.
Mhe. Membe na Mhe. Baird wakiendelea kusaini mkataba huo huku Maafisa wa Sheria kutoka Tanzania na Canada wakishuhudia. Kushoto kwa Mhe. Membe ni Bw. Abdallah Mtibora, Afisa Mambo ya Nje katika Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajab Gamaha akiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Balozi Dora Msechu (katikati), na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara hiyo Bibi Grace Shangali wakishuhudia uwekaji saini wa Mkataba wa FIPA.
Wajumbe wengine waliokuwepo kushuhudia tukio hilo la uwekaji saini wa Mkataba wa FIPA.
Mhe. Membe  na Mhe. Baird wakibadilishana Mkataba huo mara baada ya kusaini.
Mhe. Membe na Mhe. Baird wakionesha kwa Wajumbe Mkataba waliosaini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2013

    I see Mr Membe is a southpaw, and is probably in his late fifties. In the old days back in Tanganyika/ Tanzania, southpaws were considered a curse to a family and all that rubbish. I don`t know the chap, but he must have had supportive parents, who never FORCED him to be orthodox , aka north paw.
    Dr Gange- mamtoni.

    ReplyDelete
  2. ben toronto..May 18, 2013

    huyo john alikuwa mbunge wa liberal party ktk uchaguzi uliopita na baada ya liberal kushindwa uchaguzi, ingawa yeye alichaguliwa mbunge alihamia chama cha conservative na mshikaji wake steven harper akampa ulaji..watu wa jimbo lake kule BC wanausongo naye sana na wameahidi uchaguzi ujao lazima wamtoe nishai....makali sana huyo bwana na ni mtendaji mzuri sana wa kazi..bongo mkilleta longo longo lazima awaletee kwereee..

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2013

    Naunga mkono mikataba ya aina hii ya kulinda biashara. Inatoa matumaini kwa pande zote ba kuwahakikishia wawekezaji. Muhimu sana ni kuhakikisha inakuwa na maslahi 50% kwa kila upande.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 18, 2013

    Sijajua kilicho ndani ya hiyo mikataba, lakini nimekutana na maelezo yafuatayo katika wavuti ya Wacanada wenyewe

    "For this reason, the Canadian government pursues a policy of negotiating Foreign Investment Promotion and Protection Agreements (FIPAs) in order to provide a more transparent and predictable climate for Canadian investors abroad."

    "A FIPA is an international treaty providing binding obligations on host governments regarding their treatment of foreign investors and investments. By setting out clear rules and an effective enforcement mechanism, a FIPA provides a stable legal framework to promote and protect foreign investment. It typically sets out a range of obligations that host governments guarantee pertaining to non-discriminatory treatment, expropriation, transfer of funds, transparency, due process and dispute settlement."


    "The Government identifies FIPA partners primarily on the basis of commercial factors. Countries are selected where Canadian investors would benefit most from the protections of a FIPA, for example where Canadian investment might be vulnerable given the host country’s existing investment climate. To make this assessment, a series of criteria are considered. The criteria include: commercial and economic interests, such as the current level of and future prospects for CDIA; existing investor protection, such as application of the rule of law, regulatory quality and corruption; the likelihood of engagement and of achieving a quality agreement; and trade policy or other foreign policy interests."

    "Does the FIPA address taxation measures?

    In general, taxation measures are outside of the scope of a FIPA. Taxation matters are addressed through bilateral double taxation agreements. Canada has 86 such agreements in force and several others under negotiation. For further information visit the Department of Finance website. Canada does, however, negotiate its FIPAs on the basis that tax measures will be subject to the disciplines of the FIPA with respect to expropriation and tax measures that form part of a private investment agreement or contract between an investor and the host government."

    Source:http://www.international.gc.ca/trade-agreements-accords-commerciaux/agr-acc/fipa-apie/fipa-purpose.aspx?lang=en

    Watakabahu,

    Ignorant

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...