Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni,Bi. Merry Komba akishirikiana na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Butallah
kupanda mti kwenye eneo la Shule ya Msingi Mlimani ilipo ndani ya eneo
la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Kampeni
ya Exel With Grand Malt inayoendeshwa na kinywaji cha Grand Malt.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani,Hanifa Mponji akiongea na
waandishi wa habari wakati akitoa shukrani zake kwa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Grand Malt kwa kuweza kupanda
miti katika Shule yake.
Afisa
Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni,Bi. Merry Komba
akiongea na vyombo vya habari mara baada ya kupanda miti katika Shule ya
Msingi Mlimani ilipo ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Kampeni ya Exel With Grand Malt
inayoendeshwa na kinywaji cha Grand Malt.Bi. Komba aliwaasa walimu na
wanafunzi wa shule hiyo kuanzisha klabu ya kutunza Mazingira kwani faida
yake wataiona baadae.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani wakishiriki zoezi la upandaji miti.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...