Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu mawali Bungeni Mjini Dodoma leo Juni 20,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa, Joseph Mbatia, Bungeni Mjini Dodoma Juni 20,2013.
Wabunge wa CUF wakimsindikiza Yussuf Salim Hussein (wapili kushoto) wakati alipoapa kuwa Mbunge, Bungeni Mjini Dodoma Juni 20,2013.
Yussuf Salim Hussein wa CUF akiapa kuwa mbunge Bungeni Mjini Dodoam Juni 20,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi kwenye viwanja vya Bunge MjiniDodoma Juni 20, 2013.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wageni wa Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya kutoka Kata ya Silambo walioy
temlea Bunge, Ofisini kwake, BungeniMjini Dodoma Juni20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Siamini kama Pinda anaweza kutoa kauli kama ya jana ya kupiga raia hata kama wanadai haki zao! Ni kauli mbaya sana sana!
ReplyDeletehakuna haki inayodaiwa na hao chadema zaidi ya kusababisha serikali isifanye kazi zake kila siku matukio ya mauaji na inavyoonyesha wanayafanya wenyewe...ili kupata huruma ya wananchi...tunakubali police wanafanya matukio mabaya sa nyengine lakini chadema wanafanya vibaya zaidi na inasemekana kuwavalisha raia uniform za jeshi la wananchi na police ili kuichafua serikali...tumewashtukia wabaya wa nchi hii ni chadema!!!
ReplyDelete