Wanabiafra pamoja na marafiki wengine kwa pamoja walijumuika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Biafra Bw. Abdul Mollel pamoja na mkewe Bi. Evelyine katika arobaini ya mtoto wao Mollel Jr. Fuatilia matukio pichani.
Mama mzaa chema Evelyne akiwa na mtoto Mollel Jnr.
kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2013

    yaahi siku arobaini tu mtoto yupo kwenye maziwa ya chupa!basi japo angezuga tu kmunyonyesha wakati wa picha,kweli wamama walikuwa zamani siku hizi kuna walezi tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2013

    "Nasita kulaumu"
    Yawezekana mama anatatizo lisiloruhusu kunyonyesha ama hana maziwa yakutosha.

    Ila kama matatizo hayo hana, basi ajue "Mtoto ni muhimu kunyonya maziwa ya mama"

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2013

    Nilichukua muda sana kuelewa, kweli kiswahili kigumu. Mimi nilidhani arobaini ni ya msiba na ile ya za-mwizi ni arobaini. Kumbe kuna arobaini ya kuzaliwa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2013

    Miaka ya siku hizi si ya kumnyooshea kidole mtu asiyenyonyesha mtoto hebu tujifunze kutafakari kabla ya kuhukumu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2013

    maziwa yaliyoko kwa chupa inawezekana aliyakamua kutoka kifuani ili asitoe titi mbele ya wageni waalikwa maana alijua fika katikati ya shughuli mtoto atalia njaa so akayakamua mapema na kuyaweka kwa chupa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2013

    mie mwanangu alikataa ziwa siku ya kwanza tu sasa ningeacha kumpa chupa si ingekuwa balaa lingine tea?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 20, 2013

    POLENI SANA WAZAZI KWA MATATIZO,MUNGU AMPUZE KWA AMANI.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 21, 2013

    Kwa waafrika popote walipo matiti ni sehemu ya mwili wa mama kwa ajili ya kumnyonyesha mtoto. Ni kwa weupe tu! matiti ni sehemu ya zinaa.

    Ninaomba saaaana kama inawezekana tuache ujinga ujinga na basi tubakie waafrika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...