Wanabiafra pamoja na marafiki wengine kwa pamoja walijumuika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Biafra Bw. Abdul Mollel pamoja na mkewe Bi. Evelyine katika arobaini ya mtoto wao Mollel Jr. Fuatilia matukio pichani.
![]() |
Mama mzaa chema Evelyne akiwa na mtoto Mollel Jnr. kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
yaahi siku arobaini tu mtoto yupo kwenye maziwa ya chupa!basi japo angezuga tu kmunyonyesha wakati wa picha,kweli wamama walikuwa zamani siku hizi kuna walezi tu.
ReplyDelete"Nasita kulaumu"
ReplyDeleteYawezekana mama anatatizo lisiloruhusu kunyonyesha ama hana maziwa yakutosha.
Ila kama matatizo hayo hana, basi ajue "Mtoto ni muhimu kunyonya maziwa ya mama"
Nilichukua muda sana kuelewa, kweli kiswahili kigumu. Mimi nilidhani arobaini ni ya msiba na ile ya za-mwizi ni arobaini. Kumbe kuna arobaini ya kuzaliwa.
ReplyDeleteMiaka ya siku hizi si ya kumnyooshea kidole mtu asiyenyonyesha mtoto hebu tujifunze kutafakari kabla ya kuhukumu
ReplyDeletemaziwa yaliyoko kwa chupa inawezekana aliyakamua kutoka kifuani ili asitoe titi mbele ya wageni waalikwa maana alijua fika katikati ya shughuli mtoto atalia njaa so akayakamua mapema na kuyaweka kwa chupa
ReplyDeletemie mwanangu alikataa ziwa siku ya kwanza tu sasa ningeacha kumpa chupa si ingekuwa balaa lingine tea?
ReplyDeletePOLENI SANA WAZAZI KWA MATATIZO,MUNGU AMPUZE KWA AMANI.
ReplyDeleteKwa waafrika popote walipo matiti ni sehemu ya mwili wa mama kwa ajili ya kumnyonyesha mtoto. Ni kwa weupe tu! matiti ni sehemu ya zinaa.
ReplyDeleteNinaomba saaaana kama inawezekana tuache ujinga ujinga na basi tubakie waafrika.