Make: IVECO 4x4
Kilometer: 16000 - 20000
Sitting capacity: 23 pamoja na dereva
Extras: Ina fridge (chumba) kikubwa kinachoweza kuhifadhi jeneza.
Price: Sh.55 milioni (mazungumzo yapo) bila dalali wala mpambe.
Contact: 0784 400044
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mtangazaji kweli umekosa mfano mwingine mpaka unaweka jeneza? Bora hata ungeweka vipimo maanga gari la utalii na jeneza wala haviendani.
ReplyDeleteDu, hadi chumba ch kuweka jeneza? Nilidhani ni gari la watalii.
ReplyDeleteWadau wa 1 na wa 2 ninyi mnaota kufa tu?
ReplyDeleteJeneza lipo wapi hapo?, mkiona gari kubwa kubwa kama yale ya Muhimbili pale nje tayari mna weweseka.
Manaogopa sana kifo?, hakuna jinsi KIFO ni lazima mimi na ninyi na wengine tukabiliane nacho.
SOOOTE TUPO KATIKA DEATH ROW, AKIANGUKA MMOJA ANAFUATIA MWINGINE.
Hakuna kubenjuka!, wala kula kona!