Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Fedha William Mgimwa wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango (kulia) na Mbunge wa Igalula, Athumani Mfutakamba  kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mmesikia ya Mkamia tena? ni kati ya vitu VITATU:
    1.Anavuta bangi, ama
    2.Ana laana, Au
    3. Ni mgonjwa wa akili

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2013

    Kama mtu una chuki zako binafsi au za kiitikadi tunaomba usituletee lugha zisizostahili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...