Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2013

    Huyu jamaa anajitetea saaana, yaani is very defensive.
    Hizo fedha ni kiasi gani mbona haulizwi????
    Yaani watu wa sheria, mawakili wazima mnanyimwa medical record??? kwanini inachukua mwaka mzima kupata your own mediacal records??Kweli katiba inabidi ibadilishwe.
    Kwa jinsi jamaa anavyojibu hayo maswali ni wazi kwamba alikuwa anawasumbua sana victims hadi wakaamua kuachana nae.
    Unaahidi vipi kuwasaidia watu kama huna pesa??? ulijua kesi ingeitaji pesa nyingi kuishughulikia kwanini uliichukua?? Mi nadhani huwa mnafanya assessment kwanza kabla hamja chukua kesi??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2013

    Anony wa kwanza sikiliza vizuri. Huyu Bwana ni mwanasheria msemaji katika kitengo cha serikali cha sheria na haki za binadamu. Kituo hicho kinasaidia watu wasiokuwa na uwezo wa kuajili mwanasheria wa kujitegemea. Kwa hiyo huyu Jeremiah anamsaidia bila malipo yoyote ila kwa mshahara wake toka serikarini. Sio mwanasheria wa kujitegemea aliyekodiwa na victim.

    ReplyDelete
  3. Mmh JAMANI MIAKA YOTE HIYO....MH EE MUNGU...NINI NCHI GN ISIYOJALI WANSNCHI WAKE NAMNAHI...MAANA HATA ILIPOFIKA KWA IGP KWANINI ASITUMIE CHEO CHAKE KUHAKIKISHA HUYU KIJANA ANAPATA HAKI..YAKE?..kweli Tz...naitamani irudi enzi ya ukoloni..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...