Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na skauti kabla ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na skauti kabla ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013
kipindi fulani niliona katika magazeti yetu kuwa sheria, au utaratibu wa skauti wakisalimiana hutumia mikono ya kushoto, nakumbuka alikuwa ni Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa akipeana mkono na mkuu wa chama hicho katika moja ya matukio kama haya pichani. Sasa leo ni vipi? au sheria zimebadilika!
ReplyDeleteAlhajjat inakuaje tena na mambo ya kupeana mikono na kinababa?
ReplyDeleteUmepatia, "Maskauti wakisalimiana" wao kwa wao.
ReplyDeleteHongera Mh. Mwantumu Mahiza
ReplyDelete