Ankal,
Habari, naitwa Upendo, naomba uniweke katika blog hii ya jamii natafuta mchumba hatimae tufike katika ndoa, mchumba ninaehitaji awe na umri kati 49-55.
Pia hii ni mara ya pli kukuandikia je naomba nikuulize nimekiuka maadili kwani sikupata maelezo yoyote kama nimekosea naomba muongozo.
Ahsante.
Napatikana kwenye email: siamini.sudi63@gmail.com
Kwa mahesabu yangu ya kiuchunguzi nimegundua una miaka kati ya 49 na 50. Hujatuelezea historia yako hadi umri huu umeishi vipi katika mahusiano? Umewahi kuolewa ama la, n.k. FUNGUKA mama!
ReplyDeleteWewe mbona hujasema una miaka mingapi. Unaitwa Upendo, e-mail ID Siamini Sudi!!!
ReplyDeleteUnaibua maswali mengi. Unawatisha wachumba wenyewe. Wewe ni mwamame ama mwanamke? Unahitaji mchumba mwaname ama mwanamke. Je, wee una umri gani?
ReplyDeleteHapo kasema kazaliwa 63 mnataka nini. Hivi bongo siku hizi watu hawaoi mpaka mabinti wanazeeka?
ReplyDeleteAu staili ya uchumba ndo maya, wakionja mbio.
Marafiki wanatafutwa. Wachumba hawatafutwi. Jaribu lingine!
ReplyDeleteMwenyezi Mungu atakupatia, tulia usihahe.
ReplyDeleteKazi ipo!
ReplyDeleteUmesha anza kwa kutoa mashariti ya umri.
Akipatikana mtu mwenye sifa hizo utaanza kwenye UWEZO WA KIFEDHA!
Ukitoka kwenye UWEZO WA KIFEDHA utarukia kwenye UWEZO WA 'JOGOO'!
Ukiona kwenye uwezo wa Jogoo mtu yupo kamili utarukia KWENYE HISTORIA YA NYUMA KAMA ALIWAHI KOA AMA KUZAA NA MWANAMKE MWINGINE kwa huyo mwanamume muhusika!
Punguza mashariti upate mume!