Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Benki ya kiarabau kwa maendeleo ya Afrika BADEA wakati wajumbe hao walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam.(picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2013

    Mwandishi wa habari hii anapoteza credibility pale anapo weka utani katika taarifa muhimu na yakusikitisha. Anapoanza kuongelea jinsi watu walivyokimbia baada ya bomu kulipuka inaonyesha wazi anafurahia kilichotokea. Uandishi wa haina hii ni hatari kwa taifa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2013

    Kweli kabisa, mwandishi hapaswi kuandika kejili na mzaha wa mtu hasa kwenye habari sensitive kama hii ambayo watu wamekufa na wengine kupoteza maisha. Hata hivyo tuvumiliane, maana tunajifunza hata tukiwa kazini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...