Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2013

    Mbona habari za kule arusha kwa lema hutuletei??? au ndio sababu ya.......

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2013

    Wananchi waone wenyewe pindi wanasiasa kama hawa wawapo jukwaani wanachozungumza, wanatumia muda mwingi mnoo ktk kueneza uzushi na kauli za uongo kwa wananchi.si busara hata kidogo kupoteza muda wa wananchi kuja kuwaelezea chuki na uzushi badala ya mbinu na mikakati ya kuwatoa ktk lindi la umasikini.Walau basi hata kidogo wawahurumie hao masikini wanaowazunguka hapo kwa kuwapa kauli za matumaini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...