Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini China kwa Ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiangalia ngoma ya kibati iliokuwa ikichezw na wanakikundi wa Amani Mkoa waliofika Uwanja wa Ndege Kumpokea akitokea nchini China kwa Ziara ya kiserikali.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akizungumza na Waandishi wa Habari hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini china kwa ziara ya Kiserikali.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
only in africa! kuna haja gani ya viongozi woote kuacha kazi na majukumu yao na kwenda kumpokea Rais anaerudi nchini kwake?
ReplyDeleteKuna haja gani ya watu kuacha shuhuli zao za kujitenegenezea maisha na kwenda uwanja wa ndege kucheza ngoma?
Ndege yetu hii ya Fokker 28 si mchezo! yaani inafika paka China (umbali wa zaidi ya km 9,000!). of course palikuwa na stopovers.. ila tu nimefurahiwa.. Hongera TGFA!
ReplyDeleteAli..
Twatoka pwani sieeeeee wbu na utuache! Si Kiongozi wetu kwani pili pili hiyo ya kuwashiani Yakheeee!
ReplyDelete