Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2013

    Sijamaliza kusoma katiba kipengele kwa kipengele,lakini nashawishika kuona kwamba kazi iliyofanywa na tume ni kubwa,na nzuri na kwa wakati.Nampongeza sana Mwenyekiti Mh Sinde pamoja na Tume yake,tutaendelea kutoa maoni katika vikao vilivyidhinishwa.Nimefurahi kwamba rasimu hii inapataikana katika mtandao na hivyo tulio mbali na nyumbani pia tunaisoma,nakushukuru pia kaka michuzi kwa kuwa na uchaguzi wa aina ya habari zinazoonekana katika blog yako.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2013

    Sijaridhishwa na muundo wa muungano, hapa warioba amechakachua, kama alivyosema wananchi wengi wamependekeza mkataba, ila yeye kaleta serikali tatu, wakati wazanzibari wanataka mamalaka kamili ya nchi yao, sasa mbona maoni yao hayajaheshimiwa ?

    Wazanzibari sasa hivi wamekuwa wakali sana, hawatakubali kabisa, wanataka haya yatolewe kwenye muungano.

    URAIA NA UHAMIAJI- hili ndo wnalopigania usiku mchana wazanzibari.
    ULINZI NA USALAMA- wazanzibari wamechoshwa na hili, wanataka wawe kivyao, wajilinde wenyewe.
    BANK KUU NA SARAFU- hili suala toka 1992 linapiganiwa litolewe katika orodha.
    USHURU- ndio kero kubwa kwa wazanzibar kuna magari kama 200 bandarini wameshindw akuzitoa, wanataka suala hili litole.
    Vyama vya siasa nayo pia litolewe.

    Yapo mambo ya kukubaliana lakini sio haya.

    ReplyDelete
  3. Al MusomaJune 05, 2013

    I am yet to finish reading it - and I hope I get to the end - but am I the only one who feels that it only addresses political issues. How about the most sensitive issue of land ownership? How long will "investors" continue with land grabbing and driving people off their ancestral lands? Give me one hundred million shillings today for a piece of land I inherited from my parents, you have temporarily raised my standard of living but ruined that of my descendants forever. Develop a scheme that will make me a "shareholder" in the new "investment" and you have improved the quality of life for many of us. New land laws are needed now more than ever. Politics? How many years in parliament? Who should be in and who should be out? We can discuss these in generations to come.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...