Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani DCP Mohammed Mpinga akipokea funguo kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Pereira Silima baada ya Pikipiki hizo kukabidhiwa na SUMATRA Mjini Morogoro tarehe 27/06/2013.
Wajumbe wakisikiliza utekelezaji wa Maazimio kutoka kwa Insp. Sokoni wakati wa Mkutano wa watendaji wa SUMATRA na Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mjini Morogoro katika Hotel ya Glonency 88 tarehe 27/06/2013.
Kaimu Mkurugenzi wa SUMATRA Ahmed Kilima akimkabidhi Pikipiki 5 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Pereira Silima ambaye alikuwa Mgeni Rasmi wakati wa ufungaji wa Mkutano wa watendaji wa Jeshi la Polisi na SUMATRA mjini Morogoro 27/06/2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...