Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Allan Kijazi, (mwenye kipaaza sauti ) akitoa maelezo mafupi juu ya mpango endelevu wa kuaidia madawati kwa shule za Msingi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro , Joel Bendera (akiyeinamisha kichwa na kushika mikono mbele ,Juni 14, mwaka huu kwenye viwanja vya Hoteli ya Twiga ya Hifadhi ya Milima ya Udzungwa , Tanapa ilikabidhi madawati 414 yaliyogharimu sh: milioni 28.9 kwa shule za msingi 17 za Tarafa ya Mang’ula na Kidatu , wilayani Kilombero ukiwa ni mpango endelevu wa kudumisha ujirani mwema na vijiji vinavyopakana na Hifadhi za Taifa.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa. Allan Kijazi.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mang'ula wakimba kwaya wakati wa halfa ya kukabidhiwa madawati na TANAPA.
Baadhi ya watendaji wa Kata za Tarafa ya Mang'ula na Kidatu,wilayani Kilombero.Picha na John Nditi,Globu ya Jamii-Kilombero.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...