MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Humphery Polepole (kushoto)
akitoa mada kuhusu Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania
iliyoandaliwa naTume hiyo kwa baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Uingereza nchini.
Warsha hiyo ya siku moja ilifanyika leo (Ijumaa Juni 21, 2013)
katikaOfisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
WAFANYAKAZI OFISI YA UBALOZI WA UINGEREZA WAPIGWA MSASA WA RASIMU YA KATIBA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...