Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel John Nchimbi(kulia)
akimkabidhi kitendea kazi(Sheria za Parole) Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya
Taifa ya Parole, Eusebio Munuo. Kushoto ni Kamishna Jenerali wa
Magereza(Picha zote kwa Hisani ya Dawati la Habari Makao Makuu ya
Magereza).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel John Nchimbi (katikati
waliokaa) akiwa katika Picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi Mpya ya Taifa
ya Parole.


sasa mnatuwekea picha hata majina hakuna ya hao bodi membazi.
ReplyDelete