Balozi wa Uholanzi anaemaliza mda wake hapa nchini Mhe. Dk Ad Koekkoek akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda alipofika kumuaga Ofisini kwake leo
Mhe. Balozi akifurahia jambo na Mhe. Spika baada ya kumaliza maongezi. Kushoto ni Msaidizi wa Balozi Bi. Agness Hanti.
Mkono wa kwa heri. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...