MWANACHAMA WA BIAFRA JOGGING CLUB DAR ES SALAAM AMBAYE PIA NI MKE WA MWENYEKITI WA BIAFRA JOGGING CLUB,BI. EVELYNE ALFRED,ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WA DADA YAKE KILICHOTOKEA JANA JIJINI DAR.

MSIBA UKO NYUMBANI KWAO KINONDONI MKWAJUNI NA MAZISHI YATAFANYIKA SAA KUMI JIONI YA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI,JIJINI DAR.

KWA MAWASILIANO ZAIDI 

MOLLEL
0717 375375

MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI

- AMIN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2013

    poleni sana wafiwa,huyo mtoto hana jina jamani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...