Mjumbe
wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Rorya Bi. Pendo Bernard, akitoa maoni
yake kuhusu Katiba Mpya iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Wilayani hapo Julai 14, 2013.
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga Bi.
Faustina Vallery akitoa kuhusu maadili katika Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa
na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wilayani hapo juzi (Julai 14, 2013).
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakijadili na
kutoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya
Katiba wilayani hapo jana (Julai 16, 2013).
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Mji wa Njombe wakijadili na kutoa
maoni kuhusu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
wilayani hapo jana (Julai 16, 2013).
Wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Rorya katika ukumbi wa mkutano
wilayani humo muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa kujadili na kutoa maoni
kuhusu Katiba Mpya. Mkutano huo uliitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba Julai
14, 2013.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...