Mwakilishi wa katibu mkuu wa umoja wa mataifa kwa vijana Bw. Ahmed Alhendawi alipokutana na Raymond Maro balozi wa Tanzania kwa upande wa vijana kwenye jumuiya ya afrika mashariki.

Raymond Maro akiwa na Flora Nducha, mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa mataifa
Raymond Maro ndani ya jiji la Newyork akijionea jiji lisilolala a.k.a Tofaa Kubwa.
Kumbe ndi New Yok palivyo! Mbona hapa tofauti sana na Bongo!
ReplyDelete